Baada ya mvua sasa Kimbunga Hidaya, fanya mambo haya kwa usalama wako Baada ya mfululizo wa mvua kwa takriban miezi saba, baadhi ya mikoa nchini inatarajiwa kukumbwa na kimbunga Hidaya kwa siku tano mfululizo.
Changamoto tisa wafanyakazi wakiadhimisha Mei Mosi Kwa mujibu wa Tucta, kuwepo kwa changamoto hizo kunakwaza ari na shauku ya ufanyaji kazi miongoni mwa wafanyakazi nchini, ikisisitiza Serikali ichukue hatua kuleta suluhu.
Waajiri wakumbushia punguzo kodi ya ujuzi Kodi ya SDL hulipwa na kampuni kwenye mshahara ghafi wa kila mfanyakazi, ambayo kwa sasa imefikia asilimia 4.5.
Makonda ajizuia kuzungumza akihofia ‘kulikoroga’ mbele ya Dk Mpango “Hapa nitayakoroga mambo Mheshimiwa Makamu wa Rais uniruhusu niseme matatu, ukiwa na furaha sana unaweza ukajikuta unasema mambo mengi,” amesema.
Wanasheria Tanzania wapewa ujuzi kukabili uhalifu mtandao Serikali ya Tanzania na Russia zimejizatiti kushirikiana katika kujengeana uwezo na uzoefu wa kisheria katika kukabili uhalifu wa mtandao na ugaidi
Rais Samia, viongozi Afrika wataka mikopo nafuu Amezitaka taasisi hizo kurahisisha masharti ya mikopo ili nchi za Afrika zijiinue kimaendeleo
PRIME Hizi hapa sababu za maporomoko ya tope, mbinu za kuyaepuka Mwanazuoni asema kuna uwezekano mkubwa wa matukio hayo kujirudia katika maeneo yalikotokea.
Majaliwa ataka ufugaji wa kisasa, kilimo chapigiwa chapuo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekitaka Chama cha Wafugaji Tanzania kutoa elimu ya ufugaji kwa wanaojishughulisha na sekta hiyo ili waifanye kitaalamu.
Bakwata kulinda rasilimali zake kidijitali Kabla ya matumizi ya mifumo hiyo, Baraza hilo lilikabiliwa na changamoto lukuki katika urasimishaji wa rasilimali zake na wakati mwingine kushindwa kudhibiti ubadhilifu.
Rais Samia atabiri 2030 Tanzania kuwa na CDF mwanamke Rais Samia amesema katika onyesho la Paradushi mwaka huu, limejumuisha askari wa kike tofauti na miaka yote